Boresha mfumo wa sauti wa TV yako kwa Hisense 200W Soundbar + Subwoofer. Mfumo huu umetengenezwa kutoa sauti iliyo clear pamoja na bass yenye nguvu, hivyo unafaa kwa kuangalia movies, mpira, kusikiliza muziki na matumizi ya kawaida ya nyumbani.
Soundbar ina muundo mwembamba unaokaa vizuri chini ya TV, huku subwoofer ikiongeza kina cha bass kwa entertainment experience yenye nguvu zaidi.
Key Features
Total Power Output: 200W
Soundbar + Subwoofer
Dolby Audio
Powerful Bass
Bluetooth Connectivity
HDMI ARC
Optical Audio Input
AUX Input
Rahisi kuunganisha na TV, simu na vifaa vingine
Design nzuri kwa sebule na home entertainment setup
Connectivity
Bluetooth | HDMI ARC | Optical | AUX
What's in the Box
Soundbar, Subwoofer, Remote Control, Power accessories pamoja na vifaa vinavyokuja kwenye package.
Warranty
Warranty: Mwaka 1