Super KENWOOD Electric Blender SK-3334 – 2 in 1

In Stock (33)

TSh 80,000

TSh 90,000

Super KENWOOD Electric Blender yenye uwezo wa 1.5L, motor ya 500W na unbreakable jar. Inakuja na grinder ndogo kwa kusaga viungo, karanga na vitu vingine vya jikoni.

Quantity:
In Stock (33)
Guaranteed Safe Checkout
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
Rahisisha kazi za jikoni ukiwa na Super KENWOOD Electric Blender SK-3334. Blender hii ina jar kubwa ya 1.5L na motor yenye nguvu ya 500W, inayokusaidia kutengeneza juice, smoothie, sauce, supu, na kusaga viungo kwa urahisi.

Inakuja na 2 in 1 function, ikiwa na blender kubwa pamoja na grinder ndogo kwa ajili ya kusaga vitu kama viungo, karanga, tangawizi, kitunguu saumu na mahitaji mengine ya jikoni.

Sifa Muhimu:

Brand: Super KENWOOD
Model: SK-3334
Power: 500W
Capacity: 1.5L
2 in 1 Blender
Unbreakable Jar
Inakuja na grinder ndogo
Rahisi kutumia
Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na jikoni
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital

(1)

44 Products
Share:
Seller's Products