Badilisha experience ya kuangalia TV nyumbani ukiwa na Hisense AX5100Q 5.1CH Soundbar System.
Mfumo huu unakuja na soundbar kuu, 6.5-inch wireless subwoofer pamoja na rear speakers mbili, hivyo sauti inasambaa vizuri zaidi ndani ya chumba na kukupa experience inayokaribia cinema.
Ukiwa na output ya hadi 580W, AX5100Q inatoa sauti yenye nguvu, dialogue zilizo clear pamoja na bass nzito kwa movies, music, sports na gaming.
Pia ina support ya Dolby Audio na DTS:X, zinazosaidia kuongeza ubora na uhalisia wa surround sound.
Key Features
Brand: Hisense
Model: AX5100Q
Sound System: 5.1 Channel
Total Power Output: 580W
6.5" Wireless Subwoofer
Rear Surround Speakers ×2
Dolby Audio
DTS:X
Bluetooth Connectivity
Powerful Bass
Clear Dialogue
Surround Sound Experience
Remote Control
Modern Premium Design
Suitable for Movies, Music, Football & Gaming
Product Dimensions
Soundbar
Width: 903 mm
Height: 60 mm
Depth: 91 mm
Subwoofer
300 × 300 × 161 mm
Rear Speaker
Height: 190 mm
Width: 60 mm
Depth: 90 mm
What’s in the Box
Hisense AX5100Q Soundbar, wireless subwoofer, rear surround speakers 2, remote control pamoja na accessories za kuunganisha.