Boresha sauti ya TV yako kwa kutumia Hisense HS2000 240W Soundbar. Muundo wake wa all-in-one umeunganisha soundbar na built-in subwoofer kwenye kifaa kimoja, hivyo unapata bass nzuri na sauti yenye nguvu bila kujaza nafasi yako na vifaa vingi.
Inafaa kwa movies, football, music, gaming na YouTube, huku Dolby Audio na DTS Virtual:X zikisaidia kutoa sauti pana na yenye uhalisia zaidi. Unaweza kuiunganisha kupitia Bluetooth 5.3, HDMI ARC, Optical, AUX pamoja na USB.
Sifa Kuu
🔊 Total Output Power: 240W
🎵 2.1 Channel Sound System
💥 Built-in Subwoofer
🎬 Dolby Audio
🔉 DTS Virtual:X
📱 Bluetooth 5.3
📺 HDMI ARC
🔌 Optical / AUX / USB connectivity
🖥️ TV Mode
🧱 Inaweza kufungwa ukutani
🎮 Inafaa kwa Movies, Music, Gaming na Football
Specifications
Specification Details
Brand Hisense
Model HS2000
Channels 2.1 CH
Output Power 240W
Subwoofer Built-in
Bluetooth Bluetooth 5.3
HDMI HDMI 2.0 / ARC
USB USB 2.0
Optical Input Yes
Dolby Audio Yes
DTS Virtual:X Yes
Frequency Response 40Hz – 20kHz
Voltage 100–240V
Dimensions 800 × 60 × 105 mm
Net Weight Approx. 2.2kg
Kwenye Box
Unapata Hisense HS2000 Soundbar, Remote Control, HDMI Cable, batteries za remote na Wall Mount Kit.