Hisense Fridge 529 Liters With Water Dispenser

In Stock (10)

TSh 2,190,000

TSh 2,500,000

Hisense 529L Side by Side Fridge yenye water dispenser, nafasi kubwa ya kuhifadhi vyakula na vinywaji, pamoja na muonekano wa kisasa wa black finish.

Quantity:
In Stock (10)
Guaranteed Safe Checkout
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
Hifadhi vyakula na vinywaji vyako kwa ubora zaidi ukiwa na Hisense Fridge 529 Liters With Water Dispenser. Friji hii ina uwezo mkubwa wa lita 529, hivyo inafaa kwa familia kubwa, ofisi, biashara ndogo au matumizi ya nyumbani ya kisasa.

Inakuja na water dispenser, inayokuwezesha kupata maji ya baridi kwa urahisi bila kufungua friji mara kwa mara. Muonekano wake wa black glossy finish unaifanya iwe na mwonekano wa kifahari na kupendezesha jikoni au sehemu yoyote utakayoiweka.

Sifa Muhimu:

Brand: Hisense
Capacity: 529 Liters
Type: Side by Side Fridge
Water Dispenser
Colour: Black
Nafasi kubwa ya kuhifadhi vyakula na vinywaji
Muonekano wa kisasa na wa kuvutia
Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, ofisini na biashara
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital

(1)

44 Products
Share:
Seller's Products