NIKAI Steam Iron yenye nguvu ya 2000–2400W, steam/dry/spray function na soleplate inayopiga pasi vizuri. Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, dukani na sehemu za kufulia nguo.
Piga pasi kwa haraka na kwa matokeo safi ukiwa na NIKAI Steam Iron 2000–2400W. Pasi hii ina nguvu ya kutosha kusaidia kuondoa mikunjo kwenye nguo kwa urahisi, ikiwa na mfumo wa steam, dry na spray kwa matumizi tofauti kulingana na aina ya nguo.
Ina muundo mzuri wa kushika mkononi, tank la maji kwa ajili ya steam, na soleplate inayoteleza vizuri kwenye nguo. Inafaa kwa mashati, suruali, magauni, uniform, vitambaa na matumizi ya kila siku nyumbani.
Sifa Muhimu:
Brand: NIKAI
Type: Steam Iron
Power: 2000–2400W
Steam / Dry / Spray Iron
Vertical Steam Function
Water Tank Capacity
Non-stick / Ceramic Soleplate
Rahisi kutumia
Inapiga pasi kwa haraka na ufanisi
Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na biashara ndogo
(1)
Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi
