Hisense HS5100 ni mfumo wa sauti wa 5.1 Channel wenye nguvu ya hadi 540W, unaofaa kwa TV, movies, music na gaming. Inakuja na wireless subwoofer pamoja na rear surround speakers zinazosaidia kutoa sauti yenye kina na mazingira ya cinema ukiwa nyumbani.
Muundo wake ni clean na modern, huku soundbar yake ikiwa rahisi kuiweka chini ya TV au kwenye sehemu yako ya entertainment.
Features Muhimu
540W Total Power
5.1 Channel Surround Sound
6.5" Wireless Subwoofer
Rear Surround Speakers
Bluetooth 5.3
HDMI ARC
Dual Tweeter System
Powerful Bass
Wireless music streaming
Inafaa kwa Movies, Music, Gaming na TV
Remote Control
HDMI Cable included
Kwenye Box
Hisense HS5100 Soundbar, Wireless Subwoofer, Rear Surround Speakers, Remote Control, HDMI Cable, Power Cables pamoja na vifaa vingine vya kuunganisha.
Kwa Nini Uichague?
Kama unataka kuboresha sauti ya TV yako kutoka sauti ya kawaida kwenda kwenye experience yenye bass kubwa, sauti safi na surround sound, Hisense HS5100 ni option nzuri kwa sitting room, bedroom au home entertainment setup.