Skyworth Android Smart TV imeundwa kwa mtu anayehitaji TV yenye picha nzuri, smart features na urahisi wa kutumia apps moja kwa moja kwenye TV.
Inapatikana kwa size tofauti ili uchague kulingana na ukubwa wa chumba chako na matumizi yako:
43” Android Smart TV
55” QLED 4K Smart TV
60” QLED 4K Smart TV
65” QLED 4K Smart TV
Kwa models za QLED, technology hii husaidia kutoa colours zenye depth nzuri zaidi, contrast nzuri na picha yenye uhai zaidi kuliko panel za kawaida. Hii inafanya TV hizi kufaa sana kwa kuangalia movies, series, football, gaming na streaming content.
Android Smart TV interface inakuwezesha kutumia apps mbalimbali kama YouTube, Netflix na streaming apps nyingine, pamoja na ku-connect Wi-Fi kwa matumizi ya online entertainment.
Available Sizes
Size Display Type
43 Inch Android Smart TV
55 Inch QLED 4K Smart TV
60 Inch QLED 4K Smart TV
65 Inch QLED 4K Smart TV
Key Features
Brand: Skyworth
TV Type: Android Smart TV
Available Sizes: 43”, 55”, 60” & 65”
QLED: 55”, 60” & 65”
Resolution: 4K UHD kwenye QLED variants
Smart TV Functionality
Built-in Wi-Fi
Streaming Apps Support
YouTube Support
Netflix Support
HDMI Ports
USB Ports
Screen Mirroring / Casting support kwenye compatible models
Modern Frameless / Slim Design
Clear Picture Quality
Rich Colour Reproduction
Suitable for Movies, Football, Gaming & Everyday Entertainment
Kumbuka: baadhi ya features na ports zinaweza kutofautiana kidogo kulingana na size/model.
Why Choose Skyworth?
Skyworth ni chaguo zuri kwa mtu anayetaka Smart TV yenye ukubwa tofauti na picha bora, hasa kwenye models za QLED. Unaweza kuchagua size ndogo kwa bedroom au office, au 55”, 60” na 65” kwa sitting room na home entertainment setup.
Product Variations
Size:
43” | 55” QLED | 60” QLED | 65” QLED