KENWOOD Healthy Air Fryer 10L

In Stock (44)

TSh 145,000

TSh 165,000

KENWOOD Healthy Air Fryer yenye uwezo wa lita 10. Inapika kwa kutumia mafuta kidogo, inafaa kwa chips, kuku, nyama, samaki na vyakula mbalimbali vya kukaanga kiafya.

Quantity:
In Stock (44)
Guaranteed Safe Checkout
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
Furahia mapishi ya kisasa na yenye afya zaidi ukiwa na KENWOOD Healthy Air Fryer 10L. Air fryer hii inakuwezesha kukaanga, kuchoma na kupika vyakula mbalimbali kwa kutumia mafuta kidogo sana ukilinganisha na njia za kawaida za kukaanga.

Ina uwezo mkubwa wa lita 10, hivyo inafaa kwa familia, matumizi ya nyumbani, na hata biashara ndogo za chakula. Unaweza kuitumia kupika chips, kuku, nyama, samaki, sausage, mihogo, maandazi na vyakula vingine vingi kwa urahisi.

Sifa Muhimu:

Brand: KENWOOD
Model: KN-10L
Capacity: 10L
Digital LCD Display
Temperature control
Timer ya kupikia
Inatumia mafuta kidogo
Rahisi kutumia na kusafisha
Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na biashara ndogo
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital

(1)

44 Products
Share:
Seller's Products